1 Corinthians 15:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana lazima Al-Masihi atawale hadi awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kristo lazima atawale mpaka Mungu atakapowaweka adui zake wote chini ya udhibiti wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda adui zake na kuwaweka chini ya miguu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana lazima Kristo atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana lazima Al-Masihi atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke adui zake wote chini ya miguu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yeye sharti ashike ufalme, mpaka awaweke adui zake wote chini miguuni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Kristo anapaswa kutawala mpaka atakapowashinda waadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana sharti amiliki yeye, hatta awaweke maadui wote chini ya miguu yake.