1 Corinthians 15:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama hakuna ufufuo, je watu wale wanaobatizwa kwa ajili ya wafu wanatumainia kupata nini? Kama wafu hawafufuliwi, ya nini kubatizwa kwa ajili yao?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi kama hakuna ufufuo, watafanyaje wale wabatizwao kwa ajili ya wafu? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, mbona watu wanabatizwa kwa ajili yao?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa hakuna atakayefufuliwa kutoka kwa wafu, sasa watu wanafikiri wanafanya nini kwa kubatizwa kwa ajili ya wale waliokufa? Ikiwa wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini watu wanabatizwa kwa ajili yao?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama hakuna ufufuo, je watu wale wanaobatizwa kwa ajili ya wafu wanatumainia kupata nini? Kama wafu hawafufuliwi, ya nini kubatizwa kwa ajili yao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama hakuna ufufuo, je watu wale wanaobatizwa kwa ajili ya wafu wanatumainia kupata nini? Kama wafu hawafufuliwi, ya nini kubatizwa kwa ajili yao?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi kama hakuna ufufuo, watafanyaje wale wabatizwao kwa ajili ya wafu? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, mbona watu wanabatizwa kwa ajili yao?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi kama hakuna ufufuo, watafanyaje wale wabatizwao kwa ajili ya wafu? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, mbona watu wanabatizwa kwa ajili yao?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama hakuna ufufuo, je watu wale wanaobatizwa kwa ajili ya wafu wanatumainia kupata nini? Kama wafu hawafufuliwi, ya nini kubatizwa kwa ajili yao?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama sivyo, wale wanaobatizwa kwa ajili ya wafu wangewapatia nini? Kama wafu hawafufuki kamwe, hubatizwaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa hakuna ufufuko, wale wanaobatizwa kwa ajili ya wafu watafanya nini? Ikiwa wafu hawafufuki kabisa, kwa sababu gani watu wanabatizwa kwa ajili yao?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje, bassi, kama wafu hawafufuki?