1 Corinthians 15:36 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo ni maswali ya kijinga! Ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi wapumbavu kiasi gani? Mpandacho hakiwi hai kama hakikufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ewe mpumbavu! Uipandayo haihuiki, isipokufa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Haya ni maswali ya kijinga. Unapopanda kitu fulani, ni lazima kife udongoni kabla hakijawa hai na kuota.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hayo ni maswali ya kijinga! Ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo ni maswali ya kijinga! Ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi wapumbavu! Mpandacho hakiwi hai kama hakikufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi wapumbavu kiasi gani? Mpandacho hakiwi hai kama hakikufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ewe mpumbavu! Uipandayo haihuiki, isipokufa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo ni maswali ya kijinga! Ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mjinga wee! Unachokipanda, hakirudi uzimani, isipokuwa kife kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ewe mpumbavu! Uipandayo haihuiki, isipokufa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mujinga! Wakati unapopanda mbegu, mbegu ile haiwezi kuota isipokufa kwanza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mpumbavu! uipandayo wewe haihuiki, isipokufa;