1 Corinthians 15:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mungu huipa mbegu umbo kama alivyokusudia mwenyewe na kila aina ya mbegu huipa umbo lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo, na kila mbegu mwili wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na yeye Mungu hutoa mwili kwa kila aina ya mbegu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mungu huipa hiyo mbegu umbo kama alivyokusudia mwenyewe na kila aina ya mbegu huipa umbo lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Mungu huipa mbegu umbo kama alivyokusudia mwenyewe na kila aina ya mbegu huipa umbo lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo, na kila mbegu mwili wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mungu hukipa mwili, kama anavyotaka, kila mbegu hupewa mwili wake mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo, na kila mbegu mwili wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anatokeza ndani ya ile punje umbo la mumea anaotaka; yeye anatokeza ndani ya kila mbegu umbo la kipekee.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo, na killa mbegu mwili wake.