1 Corinthians 15:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nyama zote si za aina moja. Binadamu wana nyama ya aina moja, wanyama wana aina nyingine, kadhalika ndege na samaki wana nyama tofauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyama yote si nyama moja; ila nyingine ni ya wanadamu, nyingine ya hayawani, nyingine ya ndege, nyingine ya samaki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Vitu vyote vilivyoumbwa kwa mwili haviko sawa: Wanadamu wana aina moja ya mwili, wanyama wana aina nyingine, ndege wana nyingine na samaki nao wana aina yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana nyama zote si za aina moja. Binadamu wana nyama ya aina moja, wanyama wana aina nyingine, kadhalika ndege na samaki wana nyama tofauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana nyama zote si za aina moja. Binadamu wana nyama ya aina moja, wanyama wana aina nyingine, kadhalika ndege na samaki wana nyama tofauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyama zote hazifanani; nyingine ni ya wanadamu, nyingine ya hayawani, nyingine ya ndege, nyingine ya samaki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyama zote si nyama moja tu, ila nyingine ni ya watu, nyingine ni ya ng'ombe, nyingine ni ya ndege, nyingine ni ya samaki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyama yote si nyama moja; ila nyingine ni ya wanadamu, nyingine ya hayawani, nyingine ya ndege, nyingine ya samaki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miili ya viumbe vyote si sawa: watu wako na mwili wao wa kipekee, na nyama vilevile, na mwili wa ndege na samaki ni mbalimbali.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nyama yote si nyama moja; bali nyingine ya wana Adamu, nyingine ya ngʼombe, nyingine ya ndege, nyingine ya samaki.