1 Corinthians 15:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kufuatana na Maandiko Matakatifu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ya kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama Maandiko yanavyosema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama Maandiko yanavyosema
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kama ilivyoandikwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kufuatana na Maandiko Matakatifu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ya kuwa alizikwa na alifufuka siku ya tatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ya kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama yasemavyo Maandiko,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo Maandiko;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kufuatana na Maandiko Matakatifu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo ya kwamba: Alizikwa, akafufuliwa siku ya tatu, kama alivyoandikiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alizikwa na kufufuliwa kwa siku ya tatu kisha kufa kwake kama vile Maandiko Matakatifu yanavyosema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;