1 Corinthians 15:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia kuna miili ya mbinguni na miili ya duniani, lakini fahari ya ile miili ya mbinguni ni ya aina moja, na fahari ya ile miili ya duniani ni ya aina nyingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia kuna miili ya kimbingu na miili ya kidunia. Lakini uzuri wa miili ya kimbingu ni wa aina yake na uzuri wa miili ya kidunia ni kitu kingine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia kuna miili ya mbinguni na miili ya duniani, lakini uzuri wa ile miili ya mbinguni ni wa aina moja na uzuri wa ile miili ya duniani ni wa aina nyingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia kuna miili ya mbinguni na miili ya duniani, lakini fahari wa ile miili ya mbinguni ni wa aina moja na fahari wa ile miili ya duniani ni wa aina nyingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena iko miili ya mbinguni na miili ya nchini. Lakini uzuru wao ya mbinguni uko mbali, nao uzuri wao ya nchini uko mbali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile kuna miili ya mbinguni na miili ya dunia; nao uzuri wa miili ya mbinguni ni mbalimbali na uzuri wa miili ya dunia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fakhari yake ya mbingu ni mbali, na fakhari yake ya duniani mbali.