1 Corinthians 15:41 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jua lina fahari ya aina moja, mwezi nao una fahari yake na nyota pia, nazo nyota hutofautiana katika fahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Jua lina uzuri wa aina yake, mwezi una aina yake na nyota zina aina nyingine ya uzuri. Na kila nyota iko tofauti kwa uzuri wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jua lina fahari ya aina moja, mwezi nao una fahari yake na nyota pia, nazo nyota hutofautiana katika fahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jua lina fahari ya aina moja, mwezi nao una fahari yake na nyota pia, nazo nyota hutofautiana katika fahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uzuri wa jua uko mbali, nao uzuri wa mwezi uko mbali, nao uzuri wa nyota uko mbali, kwani nazo nyota na nyota zinapitana uzuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uzuri wa jua ni mbalimbali na uzuri wa mwezi, nao uzuri wa nyota ni mbalimbali, kwa maana hata nyota zinapishana uzuri vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Fakhari ya jua mbali, na fakhari ya mwezi mbali, na fakhari ya nyota mbali; maana iko tofauti ya fakhari kati ya nyota na nyota.