1 Corinthians 15:43 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huzikwa katika hali duni, hufufuliwa katika hali tukufu; huzikwa katika hali dhaifu, hufufuliwa ukiwa wenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
unapandwa katika aibu, unafufuliwa katika utukufu, unapandwa katika udhaifu, unafufuliwa katika nguvu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwili hauna heshima “unapopandwa”. Lakini utakapofufuliwa, utakuwa na utukufu. Mwili unakuwa dhaifu “unapopandwa”. Lakini unapofufuliwa, unakuwa na nguvu nyingi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huzikwa katika hali duni, hufufuliwa katika hali tukufu; huzikwa katika hali dhaifu, hufufuliwa ukiwa wenye nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huzikwa katika hali duni, hufufuliwa katika hali tukufu; huzikwa katika hali dhaifu, hufufuliwa ukiwa wenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
unapandwa katika aibu, unafufuliwa katika utukufu, unapandwa katika udhaifu, unafufuliwa katika nguvu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
unapandwa katika aibu, unafufuliwa katika utukufu, unapandwa katika udhaifu, unafufuliwa katika nguvu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huzikwa katika hali duni, hufufuliwa katika hali tukufu; huzikwa katika hali dhaifu, hufufuliwa ukiwa wenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hupandwa yenye kubezwa, hufufuliwa yenye kutukuzwa. Hupandwa yenye unyonge, hufufuliwa yenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na hali ya utukufu; nao unazikwa katika uzaifu, lakini unafufuka na nguvu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hupandwa katika aibu; hufufuka katika fakhari; hupandwa katika udhaifu; hufufuka katika nguvu;