1 Corinthians 15:46 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini si ule wa kiroho uliotangulia, bali ni ule wa asili, kisha ule wa kiroho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hautangulii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu wa kiroho hakuja kwanza. Mtu wa asili anayeonekana kwa macho ndiye alikuja kwanza; kisha akaja wa kiroho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida kisha ule mwili wa kiroho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini si ule wa kiroho uliotangulia, bali ni ule wa asili, kisha ule wa kiroho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini si ule wa kiroho uliotangulia, bali ni ule wa asili, kisha ule wa kiroho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hautangulii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwili wa kiroho sio wa kwanza, ila wa kimtu ndio uliotangulia, kisha kukafuata wa kiroho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hautangulii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Si mwili wa kiroho unaotangulia lakini ni mwili wa kimutu, kisha ule wa kiroho unafuata.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini hautangulii wa roho, bali wa asili; baadae huja wa roho.