1 Corinthians 15:51 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni, nawaambieni siri: Sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikilizeni, nawaambia siri: Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini sikilizeni, ninawaambia siri hii: Sote hatutakufa, lakini sote tutabadilishwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sikilizeni, nawaambieni siri: sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni, nawaambieni siri: sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikilizeni, nawaambia siri: Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikilizeni, nawaambia siri: Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni, nawaambieni siri: Sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, ninawaambieni neno lililokuwa limefichika siku zote: Hatutalala sisi sote, lakini sote tutageuzwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa nitawaambia ninyi siri: sisi wote hatutakufa, lakini sisi wote tutabadilishwa
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Angalieni, nawaambieni siri; hatutalala wote, lakini wote tutabadilika,