1 Corinthians 15:53 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ni lazima kila kiharibikacho kijivalie hali ya kutoharibika, mwili uwezao kufa ujivalie hali ya kutokufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu ataibadilisha miili yetu ili isiharibike kamwe. Mwili huu unaokufa utabadilishwa na kuwa mwili usiokufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana ni lazima kila kiharibikacho kijivalie hali ya kutoharibika, mwili uwezao kufa ujivalie hali ya kutokufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ni lazima kila kiharibikacho kijivalie hali ya kutoharibika, mwili uwezao kufa ujivalie hali ya kutokufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana sharti huu uharibikao uvae kutoharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ni lazima kila kiharibikacho kijivalie hali ya kutoharibika, mwili uwezao kufa ujivalie hali ya kutokufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani miili hii yenye kuoza sharti ivae isiyooza, nayo yenye kufa sharti ivae isiyokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana sherti mwili huu wa kuharibika uvae mwili wa kutoharibika, na mwili wa kufa sherti uvae mwili wa kutokufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana sharti huu wenye uharibifu uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.