1 Corinthians 15:55 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kifo, ushindi wako uko wapi? Uwezo wako wa kuumiza uko wapi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako? Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ku wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, Ewe mauti, uchungu wako?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ewe kifo, ushindi wako uko wapi? Nguvu yako ya kudhuru iko wapi?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Kifo, ushindi wako uko wapi? Uwezo wako wa kuumiza uko wapi?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kifo, ushindi wako uko wapi? Uwezo wako wa kuumiza uko wapi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kuko wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? Uko wapi, Ewe mauti, uchungu wako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako? Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuko wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? Uko wapi, Ewe mauti, uchungu wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kifo, ushindi wako uko wapi? Uwezo wako wa kuumiza uko wapi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kufa kumemezwa, kukashindwa! Wewe kifo, kushinda kwako kuko wapi? Wewe kuzimu, uchungu wako luko wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ku wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, Ewe mauti, uchungu wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ewe kifo, ushindi wako uko wapi? Ewe kifo, uwezo wako wa kuua uko wapi?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
U wapi, mauti, uchungu wako? Ku wapi, kaburi, kushinda kwako?