1 Corinthians 15:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha aliwatokea ndugu zaidi ya 500 kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado, lakini baadhi yao wamekwisha kufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye akawatokea wale ndugu waumini zaidi ya mia tano kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya hilo, aliwatokea waamini wengine zaidi ya mia tano kwa wakati mmoja. Wengi wao bado wanaishi sasa, lakini wengine wamekwisha kufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado, lakini baadhi yao wamekwisha kufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha aliwatokea ndugu zaidi ya 500 kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado, lakini baadhi yao wamekwisha kufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye akawatokea wale ndugu waamini zaidi ya 500 kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye akawatokea wale ndugu waumini zaidi ya 500 kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha aliwatokea ndugu zaidi ya 500 kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado, lakini baadhi yao wamekwisha kufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawatokea ndugu waliopita mia tano, walipokuwa pamoja; namo miongoni mwao wengi wako wazima hata sasa, lakini wengine wamelala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma aliwatokea waamini zaidi ya mia tano pamoja, na wengi kati yao wangali wanaishi mpaka sasa, lakini wachache wamekwisha kufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
baadae alionekana na ndugu zaidi ya khamsi mia pamoja; katika hao walio wengi wanaishi hatta sasa, wengine wamelala;