1 Corinthians 15:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya wote, akanitokea hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya wakati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwisho wa wote, akanitokea mimi pia, ambaye ni kama aliyezaliwa si kwa wakati wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwisho wa yote kabisa alinitokea mimi. Nilikuwa tofauti, kama mtoto anayezaliwa wakati usiostahili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya wote, akanitokea hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya wakati.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya wote, akanitokea hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya wakati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwisho wa wote, akanitokea mimi pia, ambaye ni kama aliyezaliwa si kwa wakati wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwisho wa wote, akanitokea mimi pia, ambaye ni kama aliyezaliwa si kwa wakati wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya wote, akanitokea hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya wakati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yote yakiisha, akanitokea hata mimi, ijapo sikuzaliwa, siku zilipotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa mwisho wa wote akanitokea mimi vilevile, mimi ninayekuwa kama mutoto aliyezaliwa pasipo kutimiza miezi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na mwisho wa watu wote, alionekana na mimi, kama nae aliyezaliwa si kwa wakati wake.