1 Corinthians 15:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana mimi ndiye mdogo kuliko mitume wote, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu niliwatesa waumini wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mimi ni mdogo katika mitume, nisiyestahili kuitwa mitume, kwa sababu naliliudhi Kanisa la Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mitume wengine wote ni wakuu kuliko mimi. Ninasema hivi kwa sababu nililitesa kanisa la Mungu. Ndiyo sababu sistahili hata kuitwa mtume.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana mimi ndiye mdogo kuliko mitume wote, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu nililitesa kanisa la Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana mimi ndiye mdogo kuliko mitume wote, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu niliwatesa waumini wa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mimi ni mdogo katika mitume, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu nililiudhi kanisa la Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mimi ni mdogo kuliko mitume wote, hainipasi kuitwa mtume, kwa sababu naliwafukuza wateule wake Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mimi ni mdogo katika mitume, nisiyestahili kuitwa mitume, kwa sababu naliliudhi Kanisa la Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana mimi ni mudogo kati ya mitume wote, nami sistahili hata kuitwa mutume, kwa maana nilitesa kanisa la Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana mimi mdogo katika mitume, nisiyestahili kutajwa mtume, kwa sababu naliliudhi Kanisa la Mungu.