1 Corinthians 16:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nafurahi sana kwamba Stefana, Fortunato na Akaiko wamefika; wamelijaza pengo lililokuwako kwa kutokuwako kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilifurahi Stefana, Fortunato na Akaiko walipofika, kwa sababu wamenipatia yale niliyopungukiwa kutoka kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nafurahi kwa sababu ya kuja kwao Stefana na Fortunato na Akaiko; maana hawa wamenikirimia kwa wingi yale niliyopungukiwa kwenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninafurahi kwa sababu Stefana, Fortunato na Akaiko wamekuja. Hamko hapa pamoja nami lakini wamejaza nafasi yenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nafurahi sana kwamba Stefana, Fortunato na Akaiko wamefika; wamelijaza pengo lililokuwako kwa kutokuwako kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nafurahi sana kwamba Stefana, Fortunato na Akaiko wamefika; wamelijaza pengo lililokuwako kwa kutokuwako kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilifurahi Stefana, Fortunato na Akaiko walipofika, kwa sababu hawa wamenipatia yale niliyopungukiwa kutoka kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilifurahi wakati Stefana, Fortunato na Akaiko walipofika, kwa sababu wamenipatia yale niliyopungukiwa kutoka kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nafurahi kwa sababu ya kuja kwao Stefana na Fortunato na Akaiko; maana hawa wamenikirimia kwa wingi yale niliyopungukiwa kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nafurahi sana kwamba Stefana, Fortunato na Akaiko wamefika; wamelijaza pengo lililokuwako kwa kutokuwako kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimefurahiwa na kuja kwake Stefana na Fortunato na Akaiko, kwani ndio walionifanyizia, ambavyo ninyi hamkuweza kunifanyizia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nafurahi kwa sababu ya kuja kwao Stefana na Fortunato na Akaiko; maana hawa wamenikirimia kwa wingi yale niliyopungukiwa kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami ninafurahi kwa kufika kwa Stefana, Fortunato na Akaiko; wamekuwa kwa pahali penu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami nafurahi, kwa sababu ya kuwako kwao Stefano na Fortunato na Akaiko; maana hawa wamenikarimia kwa wingi nilivopungukiwa kwenu.