1 Corinthians 16:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu wote wanawasalimuni. Nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu wote walio hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndugu wote wawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kila mmoja wenu kwa salamu maalum ya watu wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu wote wanawasalimuni. Nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu wote wanawasalimuni. Nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndugu wote wawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu wote wanawasalimuni. Nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ndugu wote wanawasalimu. Mwamkiane mkinoneana, kama watakatifu walivyozoea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu wote wawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu wote wanaokuwa hapa wanawasalimia. Na ninyi vilevile musalimiane kwa upendo wa kikristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndugu wote wawasalimu. Kasalimianeni kwa busu takatifu.