1 Corinthians 16:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote asiyempenda Bwana, na alaaniwe. MARANATHA — BWANA, NJOO!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu yeyote hampendi Bwana Isa Al-Masihi, na alaaniwe. Bwana wetu Isa, njoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu awaye yote asiyempenda Bwana, na awe amelaaniwa. Maran atha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa mtu yeyote hampendi Bwana, mwacheni mtu huyo abaki chini ya laana ya Mungu. Njoo, Ewe Bwana!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeyote asiyempenda Bwana, na alaaniwe. MARANA THA—BWANA, njoo!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote asiyempenda Bwana, na alaaniwe. MARANATHA — BWANA, NJOO!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu ye yote hampendi Bwana Yesu Kristo, na alaaniwe. Bwana wetu, njoo!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu yeyote hampendi Bwana Isa Al-Masihi, na alaaniwe. Bwana wetu Isa, njoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu awaye yote asiyempenda Bwana, na awe amelaaniwa. Maranatha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote asiyempenda Bwana, na alaaniwe. MARANATHA – BWANA, NJOO!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu asiyempenda Bwana na awe ameapizwa! Bwana anakuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu awaye yote asiyempenda Bwana, na awe amelaaniwa. Maran atha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu hamupendi Bwana, alaaniwe! Bwana wetu, kuja!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu aliye yote asiyempenda Bwana Yesu Kristo, na awe anathema. Maranatha.