1 Corinthians 16:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upendo wangu uwe kwenu katika kuungana na Kristo Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upendo wangu uwe nanyi nyote katika Al-Masihi Isa. Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pendo langu na liwe pamoja nanyi nyote katika Kristo Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Upendo wangu uwe nanyi nyote katika Kristo Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mapendo yangu yawe kwenu katika kuungana na Kristo Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upendo wangu uwe kwenu katika kuungana na Kristo Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upendo wangu uwe nanyi nyote katika Kristo Yesu. Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upendo wangu uwe nanyi nyote katika Al-Masihi Isa. Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pendo langu na liwe pamoja nanyi nyote katika Kristo Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upendo wangu uwe kwenu katika kuungana na Kristo Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upendo wangu wa kuwapenda ninyi, kwa kuwa m wake Yesu Kristo, uwakalie ninyi nyote! Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pendo langu na liwe pamoja nanyi nyote katika Kristo Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawapenda ninyi wote katika kuungana na Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pendo langu na liwe pamoja nanyi nyote katika Kristo Yesu. Amin.