1 Corinthians 16:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa itakuwa vizuri kwangu kwenda pia, basi tutasafiri pamoja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini vikiwa vingi vya kupasa, niende nami, watakwenda pamoja nami.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa ni lazima mimi niende vilevile, basi nitasafiri pamoja nao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami.