1 Corinthians 16:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia — maana nataraji kupitia Makedonia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nitakuja kwenu, nikiisha kupita kati ya Makedonia; maana napita kati ya Makedonia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nimepanga kupitia Makedonia, hivyo nitakuja kwenu baada ya hapo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nitakuja kwenu, baada ya kupitia Makedonia—maana nataraji kupitia Makedonia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia — maana nataraji kupitia Makedonia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nitakuja kwenu, nikiisha kupita kati ya Makedonia; maana napita kati ya Makedonia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia – maana nataraji kupitia Makedonia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nitafika kwenu, nitakapokwisha kupita huko Makedonia. Kwani Makedonia nitapita tu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nitakuja kwenu, nikiisha kupita kati ya Makedonia; maana napita kati ya Makedonia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakuja kwenu kisha kupitia Makedonia kufuatana na mupango wangu wa kupitia kule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini nitakuja kwenu, nikipita kati ya Makedonia; maana napita kati ya Makedonia.