1 Corinthians 2:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa maana ni nani aliyefahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu ili apate kumfundisha?” Lakini sisi tunayo mawazo ya Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama Maandiko yanavyosema, “Nani anaweza kujua anachokiwaza Bwana? Nani anaweza kumshauri?” Lakini sisi tumepewa tunawaza kama Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa maana ni nani aliyejua nia ya Bwana ili apate kumfundisha?” Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa maana ni nani aliyefahamu mawazo ya Bwana Isa ili apate kumfundisha?” Lakini sisi tunayo mawazo ya Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana: Yuko aliyeyatambua mawazo ya Bwana, amjulishe jambo? Lakini sisi tunayo mawazo yake Kristo.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile Maandiko Matakatifu yanavyosema: “Ni nani anayejua mawazo ya Bwana? Ni nani anayeweza kumushauria?” Lakini sisi tuko na mawazo yanayotoka kwa Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana ni nani aliyejua nia ya Bwana, amwelemishe? Lakini sisi tuna nia ya Kristo.