1 Corinthians 2:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote nilipokuwa nanyi, isipokuwa Isa Al-Masihi aliyesulubiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilipokuwa pamoja nanyi, niliamua kusahau kila kitu isipokuwa Yesu Kristo na kifo chake msalabani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu cho chote wakati nikiwa nanyi isipokuwa Yesu Kristo, naye amesulibiwa msalabani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote wakati nikiwa nanyi isipokuwa Isa Al-Masihi aliyesulubiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana niliazimu nisijue neno lolote kwenu ila Yesu Kristo, na yeye aliyesulubiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwenu sikuwaza werevu mwingine, asipokuwa Yesu Kristo, naye hivyo, alivyowambwa msalabani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana wakati nilipokuwa pamoja nanyi nilikusudia nisijue mambo mengine lakini Yesu Kristo tu na habari ya kufa kwake juu ya musalaba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana naliazimu nisijue neno kwenu illa Yesu Kristo, nae amesulibiwa.