1 Corinthians 3:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini kama alichojenga kitaunguzwa, basi, atapoteza tuzo lake; lakini yeye mwenyewe ataokolewa kana kwamba ameponyoka kutoka motoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama kitateketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini tu kama mtu aliyenusurika kwenye moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kazi ya mtu ikiteketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa; lakini ni kama kwa moto.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ikiwa itateketea atapata hasara. Lakini yeye mwenyewe ataokolewa, lakini itakuwa kama mtu anayeokolewa kutoka kwenye moto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
lakini kama alichojenga kitaunguzwa, basi, atapoteza tuzo lake; lakini yeye mwenyewe ataokolewa kana kwamba ameponyoka kutoka motoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini kama alichojenga kitaunguzwa, basi, atapoteza tuzo lake; lakini yeye mwenyewe ataokolewa kana kwamba ameponyoka kutoka motoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama kazi ya mtu itateketea, atapata hasara, ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini kama mtu aliyenusurika kwenye moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama kazi kitateketea, atapata hasara, ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini tu kama mtu aliyenusurika kwenye moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kazi ya mtu ikiteketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa; lakini ni kama kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini kama alichojenga kitaunguzwa, basi, atapoteza tuzo lake; lakini yeye mwenyewe ataokolewa kana kwamba ameponyoka kutoka motoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama jengo la mtu linateketea, atapotelewa nalo, lakini mwenyewe ataokolewa, lakini itakuwa kama kuokolewa motoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kazi ya mtu ikiteketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa; lakini ni kama kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama kile alichojenga kikiungua, yeye atakosa zawadi, hata hivi yeye mwenyewe ataokolewa, lakini itakuwa kama vile ameopolewa toka ndani ya moto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kazi ya mtu ikiteketea, atapata khasara; lakini yeye mwenyewe ataokolewa; lakini kule kuokolewa kama kwa moto.