1 Corinthians 3:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mtu asijivunie watu. Maana kila kitu ni chenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, mtu ye yote na asijisifie wanadamu. Kwa maana vyote ni vyenu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo hakuna mtu yeyote duniani ambaye ninyi mnapaswa kujivunia. Kila kitu ni chenu:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, mtu asijivunie watu. Maana kila kitu ni chenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mtu asijivunie watu. Maana kila kitu ni chenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Kwa kuwa vitu vyote ni vyenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, mtu yeyote na asijisifie wanadamu. Kwa maana vyote ni vyenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mtu asijivunie watu. Maana kila kitu ni chenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mtu asijivune kwa wenziwe! Kwa maana yote ni yenu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mtu ye yote na asijisifie wanadamu. Kwa maana vyote ni vyenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi mutu asijivune kwa ajili ya wanadamu. Kwa maana vitu vyote ni vyenu:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, asijisifu mtu katika wana Adamu.