1 Corinthians 3:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Paulo, Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
iwe ni Paulo au Apolo au Kefa, au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au ujao: haya yote ni yenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo, Apolo, Petro, ulimwengu, uzima, mauti, wakati uliopo na ujao, vyote hivi ni vyenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Paulo, Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Paulo, Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa, au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Paulo, Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akiwa Paulo au Apolo, akiwa Kefa, au ukiwa ulimwengu, kukiwa kuishi au kufa, yakiwa yaliyopo au yatakayokuwapo, yote ni yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ikiwa Paulo, Apolo au Petro, dunia, uzima, kifo, mambo ya sasa au mambo yatakayokuja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana vyote ni vyenu; ikiwa ni Paolo, au Apollo, au Kefa, au dunia, au uzima, au mauti, au vile vilivyo sasa, au vile vitakavyokuwa,