1 Corinthians 3:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na ninyi ni wa Al-Masihi, naye Al-Masihi ni wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nanyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ninyi ni wa Kristo naye Kristo ni wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na ninyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na ninyi ni wa Al-Masihi, naye Al-Masihi ni wa Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nanyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi m wake Kristo, naye Kristo ni wake Mungu.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nanyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi ni watu wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
vyote ni vyenu, na ninyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.