1 Corinthians 3:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wenu anaposema, “Mimi ni wa Paulo”, na mwingine, “Mimi ni wa Apolo”, je, hiyo haionyeshi kwamba mnaishi bado kama watu wa dunia hii tu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana mmoja anaposema, “Mimi ni wa Paulo,” na mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” je, ninyi si wanadamu wa kawaida?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hapo mtu mmoja asemapo, Mimi ni wa Paulo; na mwingine, Mimi ni wa Apolo, je! Ninyi si wanadamu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mmoja wenu anasema, “Mimi ninamfuata Paulo,” na mwingine anasema, “Ninamfuata Apolo.” Mnaposema mambo kama haya, mnaenenda kama watu wa ulimwengu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmoja wenu anaposema, “Mimi ni wa Paulo”, na mwingine, “Mimi ni wa Apolo”, je, hiyo haionyeshi kwamba mnaishi bado kama watu wa dunia hii tu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wenu anaposema, “Mimi ni wa Paulo”, na mwingine, “Mimi ni wa Apolo”, je, hiyo haionyeshi kwamba mnaishi bado kama watu wa dunia hii tu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana mmoja anaposema, “Mimi ni wa Paulo,” mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” je, ninyi si wanadamu wa kawaida?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana mmoja anaposema, “Mimi ni wa Paulo,” na mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” je, ninyi si wanadamu wa kawaida?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hapo mtu mmoja asemapo, Mimi ni wa Paulo; na mwingine, Mimi ni wa Apolo, je! Ninyi si wanadamu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wenu anaposema, “Mimi ni wa Paulo”, na mwingine, “Mimi ni wa Apolo”, je, hiyo haionyeshi kwamba mnaishi bado kama watu wa dunia hii tu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana mmoja akisema: Mimi wa Paulo, na mwingine: Mimi wa Apolo, basi, ninyi ham wa kimtu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hapo mtu mmoja asemapo, Mimi ni wa Paulo; na mwingine, Mimi ni wa Apolo, je! Ninyi si wanadamu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati mumoja wenu anaposema: “Mimi ni wa Paulo” na mwingine anasema: “Mimi ni wa Apolo,” basi ninyi hamufanyi mambo ya kidunia?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana hapo mtu mmoja anenapo, Mimi ni wa Paolo; na mwingine, Mimi ni wa Apolio, je! hamwi watu wa tabia za mwilini?