1 Corinthians 3:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nilipanda mbegu, Apolo akamwagilia maji; lakini aliyeiotesha mbegu ni Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nilipanda, Apolo akatia maji; bali mwenye kukuza ni Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilipanda mbegu na Apolo akamwagilia maji. Lakini Mungu ndiye aliyeiotesha na kuikuza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mimi nilipanda mbegu, Apolo akamwagilia maji; lakini aliyeiotesha mbegu ni Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nilipanda mbegu, Apolo akamwagilia maji; lakini aliyeiotesha mbegu ni Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliyekuza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mwenyezi Mungu ndiye aliikuza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nilipanda, Apolo akatia maji; bali mwenye kukuza ni Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nilipanda mbegu, Apolo akamwagilia maji; lakini aliyeiotesha mbegu ni Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mimi nilipanda, Apolo akanywesha, lakini Mungu ndiye aliyeotesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nilipanda, Apolo akatia maji; bali mwenye kukuza ni Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nilipanda mbegu na Apolo alinyweshea maji, lakini Mungu ndiye aliyeiotesha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mimi nilipanda, Apollo akatia maji; bali mwenye kukuza ni Mungu.