1 Corinthians 3:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo, apandaye si kitu, wala atiaye maji, bali Mungu akuzaye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo aliyepanda na kuimwagilia si wa muhimu. Mungu ndiye wa muhimu, kwa sababu ndiye anayevifanya vitu viote vikue.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo mwenye kupanda mbegu na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ndiye akuzaye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo, apandaye si kitu, wala atiaye maji, bali Mungu akuzaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo apandeye siye, wala anyweshaye siye, ila Mungu aoteshaye ndiye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo, apandaye si kitu, wala atiaye maji, bali Mungu akuzaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi yule anayepanda na yule anayenyweshea maji, wote si kitu; Mungu ndiye anayekuwa wa lazima kwa maana ni yeye anayeotesha mbegu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama ni hivyo, apandae si kitu, wala atiae maji, bali Mungu akuzae.