1 Corinthians 4:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa Kristo tuliokabidhiwa siri za Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Al-Masihi na mawakili wa siri za Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tuchukulieni sisi kuwa ni watumishi wa Kristo, ambao Mungu ametuamini tufanye kazi ya kuwaambia wengine siri zake za kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa Kristo tuliokabidhiwa siri za mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa Kristo tuliokabidhiwa siri za Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Al-Masihi na mawakili wa siri za Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa Kristo tuliokabidhiwa siri za Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Hivyo kila mtu atuwazie sisi kuwa watumikizi wa Kristo na watunzaji wa mafumbo yake Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo mutuhesabu kama watumishi wa Kristo, wanaoshugulika na ujumbe wa siri wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
MTU na atubesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu.