1 Corinthians 4:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi, hatuna malazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hadi saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tu uchi, twapigwa ngumi, tena hatuna makao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hata sasa hatuna vyakula vya kutosha kula au kunywa, na hatuna nguo za kutosha. Mara kwa mara tunapigwa na hatuna makazi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mpaka dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi, hatuna malazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi, hatuna malazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tuko uchi, twapigwa ngumi, tena hatuna makao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi, hatuna malazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka saa hii ya sasa maumivu yetu yako, ni haya: njaa na kiu na uchi na mapigo na kukosa kikao;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tu uchi, twapigwa ngumi, tena hatuna makao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata sasa, tunateswa na njaa na kiu, tunakosa nguo, tunapigwa, tunatangatanga bila makao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tu uchi, twapigwa makofi, hatuna makao;