1 Corinthians 4:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha nyinyi, bali kwa ajili ya kuwafundisheni watoto wangu wapenzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siyaandiki hayo ili kuwatahayarisha; bali kuwaonya kama watoto niwapendao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siwaambii haya ili kuwatahayarisha, lakini ninaandika haya ili kuwaonya kama watoto wangu mwenyewe ninaowapenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha ninyi, bali kwa ajili ya kuwafundisheni watoto wangu wapenzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha nyinyi, bali kwa ajili ya kuwafundisheni watoto wangu wapenzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siyaandiki hayo ili kuwatahayarisha; bali kuwaonya kama watoto niwapendao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha nyinyi, bali kwa ajili ya kuwafundisheni watoto wangu wapenzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siyaandiki haya, niwatie soni, ila nawaonya kama watoto wangu, ninaowapenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siyaandiki hayo ili kuwatahayarisha; bali kuwaonya kama watoto niwapendao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siwaandikii maneno haya kwa kuwapatisha haya, lakini kwa kuwaonya kama watoto wangu wapendwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Siyaandiki haya illi kuwatahayarisha, hali kuwaonya kama watoto niwapendao. Maana ijapokuwa mna waalimu elfu katika Kristo, illakini hamna baba wengi.