1 Corinthians 4:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wengine wamejivuna kana kwamba siji kwenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi yenu mnajivuna, mkidhani kuwa sitakuja kuwatembelea tena.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi yenu mmekuwa na majivuno mkidhani kuwa sitafika kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wengine wamejivuna kana kwamba siji kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wako wanaojivuna, kwamba mimi siji kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wengine wamejivuna kana kwamba siji kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wamoja kati yenu wanajivuna wakifikiri kwamba sitakuja kuwaona.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wengine wamejivuna kana kwamba siji kwenu.