1 Corinthians 4:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kinachotakiwa kwa yeyote yule aliyekabidhiwa kazi ni kuwa mwaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo tena inayohitajiwa katika mawakili, ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale walioaminiwa kwa kazi muhimu kama hii imewapasa kuonesha ya kuwa wao ni waaminifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kinachotakiwa kwa yeyote yule aliyekabidhiwa kazi ni kuwa mwaminifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kinachotakiwa kwa yeyote yule aliyekabidhiwa kazi ni kuwa mwaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo tena inayohitajiwa katika mawakili, ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kinachotakiwa kwa yeyote yule aliyekabidhiwa kazi ni kuwa mwaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kwa watunzaji halitafutwi jingine, ni hili tu, ajulike kuwa mwelekevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo tena inayohitajiwa katika mawakili, ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yanayohitajika kwa mwenye madaraka kama hayo, ni kuwa mwaminifu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena inayohitajiwa katika mawakili, ndio mtu aonekane amini.