1 Corinthians 4:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ufalme wa Mungu si shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa ufalme wa Mungu si maneno matupu tu bali ni nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno, bali katika nguvu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu huonesha kuwa anatawala katika maisha kwa yale wanayoweza kufanya na si kwa maneno yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Utawala wa Mungu si shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ufalme wa Mungu si shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Ufalme wa Mungu si maneno matupu tu bali ni nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Ufalme wa Mwenyezi Mungu si maneno matupu tu bali ni nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno, bali katika nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ufalme wa Mungu si shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana ufalme wa Mungu sio wa kujisemea, ila uko na nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno, bali katika nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana kazi ya Ufalme wa Mungu haionyeshwi kwa njia ya kusema tu, lakini vilevile kwa njia ya matendo ya uwezo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana ufalme wa Mungu hauwi katika neno, hali katika nguvu.