1 Corinthians 4:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnapendelea lipi? Nije kwenu na fimbo, ama nije na moyo wa upendo na upole?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi amueni. Je, nije kwenu na fimbo, au nije kwa upendo na kwa roho ya upole?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mnataka vipi? Nije kwenu na fimbo, au nije katika upendo na roho ya upole?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, nitakapokuja kwenu, nije nikiwa na adhabu au nije kwa upendo na upole?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mnapendelea lipi? Nije kwenu na fimbo, ama nije na moyo wa upendo na upole?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnapendelea lipi? Nije kwenu na fimbo, ama nije na moyo wa upendo na upole?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi amueni. Je, nije kwenu na fimbo, au nije kwa upendo na kwa roho ya upole?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi amueni. Je, nije kwenu na fimbo, au nije kwa upendo na kwa roho ya upole?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mnataka vipi? Nije kwenu na fimbo, au nije katika upendo na roho ya upole?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnapendelea lipi? Nije kwenu na fimbo, ama nije na moyo wa upendo na upole?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mnataka nini? Nije kwenu nikishika fimbo, au nije mwenye upendo na roho ya upole?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mnataka vipi? Nije kwenu na fimbo, au nije katika upendo na roho ya upole?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi munataka nini? Nifike kule kwenu, nikikuja na fimbo au na moyo unaojaa upendo na upole?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mnataka nini? Nije kwenu na fimbo, au katika upendo na roho ya upole?