1 Corinthians 5:13 — Compare Translations
12 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu atawahukumu hao walio nje. “Ninyi mwondoeni huyo mtu mwovu miongoni mwenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hao walio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu atawahukumu hao walio nje ya kanisa. “Ninyi mwondoeni huyo mtu mwovu miongoni mwenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu atawahukumu hao walio nje. “Ninyi mwondoeni huyo mtu mwovu miongoni mwenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao walio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walioko nje Mungu ndiye atakayewaumbua. Mwondoeni yule mbaya, atoke katikati yenu ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hao walio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu. u.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali hao walio nje Mungu atawahukumu. Mwondoeni mtu yule mbaya, asikae kwenu.