1 Corinthians 5:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami, kwa upande wangu, ingawa kwa mwili niko mbali nanyi, hata hivyo kwa roho niko hapo pamoja nanyi: Na hivyo, kama vile nipo hapo, nimekwisha mhukumu huyo aliyefanya jambo hilo la aibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata kama siko pamoja nanyi katika mwili, niko nanyi katika roho. Nami nimekwisha kumhukumu mtu huyo aliyetenda jambo hili, kama vile ningekuwepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana kweli, nisipokuwapo kwa mwili, lakini nikiwapo kwa roho, mimi mwenyewe nimekwisha kumhukumu yeye aliyetenda jambo hilo, kana kwamba nikiwapo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siwezi kuwa hapo pamoja nanyi ana kwa ana, lakini niko pamoja nanyi katika roho. Na nimekwisha mhukumu mtu aliyetenda hii kama ambavyo ningemhukumu ikiwa ningekuwa hapo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nami, kwa upande wangu, ingawa kwa mwili niko mbali nanyi, hata hivyo kwa roho niko hapo pamoja nanyi: na hivyo, kama vile nipo hapo, nimekwisha mhukumu huyo aliyefanya jambo hilo la aibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami, kwa upande wangu, ingawa kwa mwili niko mbali nanyi, hata hivyo kwa roho niko hapo pamoja nanyi: na hivyo, kama vile nipo hapo, nimekwisha mhukumu huyo aliyefanya jambo hilo la aibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata kama siko pamoja nanyi katika mwili, niko nanyi katika roho. Nami nimekwisha kumhukumu mtu huyo aliyetenda jambo hili, kama vile ningekuwapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata kama siko pamoja nanyi katika mwili, niko nanyi katika roho. Nami nimekwisha kumhukumu mtu huyo aliyetenda jambo hili, kama vile ningekuwepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana kweli, nisipokuwapo kwa mwili, lakini nikiwapo kwa roho, mimi mwenyewe nimekwisha kumhukumu yeye aliyetenda jambo hilo, kana kwamba nikiwapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami, kwa upande wangu, ingawa kwa mwili niko mbali nanyi, hata hivyo kwa roho niko hapo pamoja nanyi: Na hivyo, kama vile nipo hapo, nimekwisha mhukumu huyo aliyefanya jambo hilo la aibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata nisipokuwako kwenu na mwili wangu, lakini moyo uko kwenu. Hivyo, kama niko kwenu, nimekwisha kumhukumu yule aliyekitenda kibaya kilicho hivyo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana kweli, nisipokuwapo kwa mwili, lakini nikiwapo kwa roho, mimi mwenyewe nimekwisha kumhukumu yeye aliyetenda jambo hilo, kana kwamba nikiwapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ijapokuwa mimi ni mbali nanyi kimwili, mimi ni pamoja nanyi kiroho. Kwa hiyo nimefanya kama ningekuwa katikati yenu, maana yake, nimekwisha kumuhukumu kwa jina la Bwana wetu Yesu, yule mutu aliyetenda ubaya ule. Wakati mutakapokusanyika, mimi vilevile nitakuwa pamoja nanyi kiroho, nao uwezo wa Bwana Yesu utakuwa katikati yenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana mimi kweli, nisipokuwapo kwa mwili, lakini nikiwapo kwa roho, nimekwisha kumhukumu yeye aliyetenda jambo hilo, kana kwamba nikiwapo.