1 Corinthians 5:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naliwaandikia katika waraka wangu, kwamba msichangamane na wazinzi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Katika barua yangu niliwaandikia kuwa msishirikiane na wazinzi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niliwaandikia katika barua yangu, kwamba msichangamane na wazinzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naliwaandikia ninyi katika barua yangu kwa kwamba: Msichanganyike na wagoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naliwaandikia katika waraka wangu, kwamba msichangamane na wazinzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika barua niliyowatumia, niliwaandikia kwamba musishirikiane na washerati.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Naliwaandikieni katika waraka wangu, kwamba msichangamane na wazinzi.