1 Corinthians 6:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wezi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyanganyi, hao wote hawatashiriki ufalme wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyang’anyi hawataurithi ufalme wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia wezi, walafi, walevi, watukanaji, au waongo wanaowadanganya wengine ili wawaibie hawatakuwa na sehemu katika ufalme wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wevi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyang'anyi, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wezi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyang'anyi, hao wote hawatashiriki ufalme wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walafi, wala wanaodhihaki, wala wanyang'anyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyang’anyi hawataurithi Ufalme wa Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wezi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyanganyi, hao wote hawatashiriki ufalme wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na wezi na wenye choyo na walevi na wenye matusi na wanyang'anyi, hao wote hawatautwaa ufalme wa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wizi, wenye tamaa, walevi, watukanaji, wanyanganyi, watu wale wote hawatapata urizi katika Ufalme wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyangʼanyi.