1 Corinthians 6:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hamjui kwamba watu wa Mungu watauhukumu ulimwengu? Ikiwa basi, ulimwengu utahukumiwa nanyi, kwa nini hamstahili kuhukumu hata katika mambo madogo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hamjui kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Nanyi kama mtauhukumu ulimwengu, je, hamwezi kuamua mambo madogo madogo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hamjui kuwa watakatifu wa Mungu watauhukumu ulimwengu? Hivyo, ikiwa mtauhukumu ulimwengu, hakika mnaweza kutatua mashauri kama hayo miongoni mwenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, hamjui kwamba watu wa Mungu watauhukumu ulimwengu? Ikiwa basi, ulimwengu utahukumiwa nanyi, kwa nini hamstahili kuhukumu hata katika mambo madogo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hamjui kwamba watu wa Mungu watauhukumu ulimwengu? Ikiwa basi, ulimwengu utahukumiwa nanyi, kwa nini hamstahili kuhukumu hata katika mambo madogo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hamjui kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Nanyi kama mtauhukumu ulimwengu, je, hamwezi kuamua mambo madogo madogo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hamjui kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Nanyi kama mtauhukumu ulimwengu, je, hamwezi kuamua mambo madogo madogo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hamjui kwamba watu wa Mungu watauhukumu ulimwengu? Ikiwa basi, ulimwengu utahukumiwa nanyi, kwa nini hamstahili kuhukumu hata katika mambo madogo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au hamjui, ya kuwa watakatifu watauhukumu ulimwengu? Ikiwa ulimwengu utahukumiwa nanyi, isiwapase kuamulia mambo yaliyo madogo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamujui kwamba watu wa Mungu ndio watakaohukumu dunia? Na kama ikiwapasa kuhukumu dunia, hamuwezi hata kuhukumu mambo ya burebure?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! hamstahili kuhukumu hukumu zilizo ndogo?