1 Corinthians 6:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hamjui kwamba, licha ya kuhukumu mambo ya kawaida ya kila siku, tutawahukumu hata malaika?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hamjui kwamba tutawahukumu malaika? Je, si zaidi mambo ya maisha haya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hakika mnajua kuwa tutawahukumu malaika. Kwa kuwa hiyo ni kweli basi hakika tunaweza kuhukumu masuala ya kawaida ya maisha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, hamjui kwamba, licha ya kuhukumu mambo ya kawaida ya kila siku, tutawahukumu hata malaika?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hamjui kwamba, licha ya kuhukumu mambo ya kawaida ya kila siku, tutawahukumu hata malaika?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hamjui kwamba tutawahukumu malaika? Je, si zaidi mambo ya maisha haya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hamjui kwamba tutawahukumu malaika? Je, si zaidi mambo ya maisha haya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hamjui kwamba, licha ya kuhukumu mambo ya kawaida ya kila siku, tutawahukumu hata malaika?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hamjui, ya kuwa tutahukumu malaika? Nayo ya huku nchini yasitupase?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi hamujui kwamba tutawahukumu wamalaika? Basi, ninyi munaweza kuhukumu zaidi mambo ya maisha haya!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hamjui ya kuwa tutawahukumu malaika, bassi si zaidi sana mambo ya maisha haya?