1 Corinthians 6:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnapokuwa na mizozo juu ya mambo ya kawaida, je, mnawaita wawe mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo kama kuna ugomvi miongoni mwenu kuhusu mambo kama haya, je, mnachagua watu ambao wanaonekana hata sio wa heshima katika kundi la waumini kuwa waamuzi kati yenu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, mkiwa na mahali panapohukumiwa mambo ya maisha haya, mwawaweka kuwa waamuzi hao waliohesabiwa kuwa si kitu; katika kanisa?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa, ikiwa mna masuala kama haya ya kawaida ya maisha yanayotakiwa kuamuliwa, kwa nini mnayapeleka kwa wasio waamini? Hao ambao hawana umuhimu wo wote kwenu?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mnapokuwa na mizozo juu ya mambo ya kawaida, je, mnawaita wawe mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnapokuwa na mizozo juu ya mambo ya kawaida, je, mnawaita wawe mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo kama kuna ugomvi miongoni mwenu kuhusu mambo kama haya ninyi mwachagua watu ambao hata hawaheshimiwi katika kanisa kuwa waamuzi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo kama kuna ugomvi miongoni mwenu kuhusu mambo kama haya, chagueni kuwa waamuzi, watu ambao wanaonekana hata sio wa heshima katika kundi la waumini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, mkiwa na mahali panapohukumiwa mambo ya maisha haya, mwawaweka kuwa waamuzi hao waliohesabiwa kuwa si kitu; katika kanisa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnapokuwa na mizozo juu ya mambo ya kawaida, je, mnawaita wawe mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkitaka kushtakiana mambo ya huku nchini, inakuwaje, mkiwaketisha katika kiti cha uamuzi wale wanaobezwa kwa wateule?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mkiwa na mahali panapohukumiwa mambo ya maisha haya, mwawaweka kuwa waamuzi hao waliohesabiwa kuwa si kitu; katika kanisa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi ikiwa muna magomvi juu ya mambo ya namna hii, kwa nini munayapeleka mbele ya waamuzi wasiokuwa na madaraka katika kanisa?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, mkiwa ita mahali yanapohukumiwa mambo ya maisha haya, wekeni hao waliohesabiwa kuwa si kitu katika kanisa.