1 Corinthians 6:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyanganya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, ninyi wenyewe mwadanganya na kutenda mabaya, tena mwawatendea ndugu zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali kinyume cha hayo ninyi wenyewe mwadhulumu watu na kunyang'anya mali zao; naam, hata za ndugu zenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ninyi ndiyo mnaotenda mabaya kwa kudanganya. Na mnawafanyia hivi ndugu zenu katika Kristo!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini, badala yake, ninyi ndio mnaodhulumu na kunyang'anya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyang'anya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, ninyi wenyewe mwadanganya na kutenda mabaya, tena mwawatendea ndugu zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, ninyi wenyewe mwadanganya na kutenda mabaya, tena mwawatendea ndugu zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali kinyume cha hayo ninyi wenyewe mwadhulumu watu na kunyang'anya mali zao; naam, hata za ndugu zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyanganya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi mwapotoana, mwanyang'anyana wenyewe, tena m ndugu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali kinyume cha hayo ninyi wenyewe mwadhulumu watu na kunyang’anya mali zao; naam, hata za ndugu zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, ni ninyi ndio munaotenda vibaya na kunyanganya mali ya wengine, nao munaowatendea vile ni wandugu zenu waamini.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali ninyi mwadhulumu watu na kunyangʼanya mali zao; naam, za ndugu zenu.