1 Corinthians 7:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: Naam, ni vizuri kama mtu haoi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi kuhusu mambo yale mliyoyaandika: “Ni vyema mwanaume asimguse mwanamke.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa nitazungumza kuhusu mambo yale mliyoniandikia. Mliuliza ikiwa ni bora mwanaume asimguse mwanamke kabisa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi kuhusu mambo yale mliyoniandikia: Ni vyema mwanaume asimguse mwanamke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi kuhusu mambo yale mliyoyaandika: Ni vyema mwanaume asimguse mwanamke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi kuhusu mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: Naam, ni vizuri kama mtu haoi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo, mliyoniandikia, nayajibu hivi: Ni vizuri, mtu asipogusa mwanamke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa tuangalie mambo yale muliyoniandikia. Ni vizuri mwanaume asioe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
BASSI kwa mambo yale mliyoniandikia, ni kheri mwanamume asiguse mwanamke.