1 Corinthians 7:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: Mke asiachane na mumewe;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi, ila ni Bwana Isa): Mke asitengane na mumewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na sasa ninawaamuru wale walio katika ndoa. Si amri kutoka kwangu, lakini ndivyo Bwana aliamuru. Mke hapaswi kuondoka kwa mume wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane na mumewe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane na mumewe;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi ila ni Bwana): Mke asimwache mumewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi, ila ni Bwana Isa): Mke asitengane na mumewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: Mke asiachane na mumewe;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliokwisha oana nawaagiza, tena si mimi, lakini ni Bwana: Mke asiachane na mumewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa wale waliokwisha kuoana, ninatoa amri hii, isiyotoka kwangu, lakini kwa Bwana Mungu: muke hapaswi kuachana na mume wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza, wala si mimi, illa Bwana, mke asiachane na mumewe;