1 Corinthians 7:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe mama Mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mume wako? Au wewe mume Mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mkeo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe mke, unajuaje kama utamwokoa mumeo? Au wewe mume, unajuaje kama utamwokoa mkeo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wajuaje, wewe mwanamke, kama utamwokoa mumeo? Au wajuaje, wewe mwanamume, kama utamwokoa mkeo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Inawezekana ninyi wake mtawaokoa waume zenu; nanyi waume mtawaokoa wake zenu kwani bado hamjui kitakachotokea baadaye.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wewe mama Mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mume wako? Au wewe mume Mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mkeo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe mama Mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mume wako? Au wewe mume Mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mkeo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe mke, unajuaje kama utamwokoa mumeo? Au wewe mume unajuaje kama utamwokoa mkeo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe mke, unajuaje kama utamwokoa mumeo? Au wewe mume unajuaje kama utamwokoa mkeo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana wajuaje, wewe mwanamke, kama utamwokoa mumeo? Au wajuaje, wewe mwanamume, kama utamwokoa mkeo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe mama Mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mume wako? Au wewe mume Mkristo, unawezaje kuwa na hakika kwamba hutaweza kumwokoa mkeo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wajuaje, wewe mke, kama utamwokoa mumeo? Au wajuaje, wewe mume, kama utamwokoa mkeo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wajuaje, wewe mwanamke, kama utamwokoa mumeo? Au wajuaje, wewe mwanamume, kama utamwokoa mkeo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe muke mwamini unaweza kujua namna gani kwamba utamwokoa mume wako? Au wewe mume mwamini utaweza kujua namna gani kwamba utamwokoa muke wako?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Mungu ametuita katika amani. Kwa maana wajuaje, ee mwanamke, kama ntamwokoa mume wako? au wajuaje ee mwanamume, kama utamwokoa mke wako?