1 Corinthians 7:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na Bwana, na kama alivyoitwa na Mungu. Hili ndilo agizo langu kwa makanisa yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kila mtu na aishi maisha aliyopangiwa na Bwana Isa, yale Mungu aliyomwitia. Hii ni sheria ninayoiweka kwa makundi yote ya waumini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama Bwana alivyomgawia kila mtu, kama Mungu alivyomwita kila mtu, na aenende vivyo hivyo. Ndivyo ninavyoagiza katika makanisa yote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila mmoja wenu anapaswa kuendelea kuishi katika namna ambayo Bwana Mungu amewapa, kuishi kama mlivyoishi Mungu alipowaita. Ninawaambia watu katika makanisa yote kufuata kanuni hii.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na Bwana, na kama alivyoitwa na Mungu. Hili ndilo agizo langu kwa makanisa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na Bwana, na kama alivyoitwa na Mungu. Hili ndilo agizo langu kwa makanisa yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kila mtu na aishi maisha aliyopangiwa na Bwana, yale Mungu aliyokuitia. Hii ni sheria yangu kwa makanisa yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kila mtu na aishi maisha aliyopangiwa na Bwana Isa, yale Mwenyezi Mungu aliyomwitia. Hii ni sheria ninayoiweka kwa makundi yote ya waumini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama Bwana alivyomgawia kila mtu, kama Mungu alivyomwita kila mtu, na aende vivyo hivyo. Ndivyo ninavyoagiza katika makanisa yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na Bwana, na kama alivyoitwa na Mungu. Hili ndilo agizo langu kwa makanisa yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nasema: Kila mtu avishike, Bwana alivyomgawia, kila mtu aendelee hivyo, alivyokuwa hapo, Mungu alipomwita! Hivyo ndivyo, ninavyoagiza katika wateule wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama Bwana alivyomgawia kila mtu, kama Mungu alivyomwita kila mtu, na aenende vivyo hivyo. Ndivyo ninavyoagiza katika makanisa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ngambo ingine, kila mutu aendelee kuishi kufuatana na zawadi aliyopewa na Bwana na kufuatana na vile alivyokuwa mbele ya kuitwa na Mungu. Hii ndiyo kanuni ninayofundisha katika makanisa yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Mungu alivyomgawia killa mtu—kama Mungu alivyomwita killa mtu, na aenende vivyo hivyo. Na ndivyo ninavyoagiza katika Makanisa yote.